Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki kuimba wimbo wa wafanyakazi akiwa kashikana mikono na Rais wa Jumuiya ya Vyama vya wafanyakazi (TUCTA) Mh, Waziri wa Kazi na Ajira Mh Gaudence Kabaka (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh Galawa katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga leo Mei 1, 2012.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga leo Mei 1, 2012.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga leo Mei 1, 2012.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tatu kama zawadi kwa Mfanyakazi bora wa Tanesco Bi Anetha Chengula katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga leo Mei 1, 2012.
Wafanyakazi wa Ofisi za Bunge wakiigiza kikao cha bunge wakati gari lao lilipokuwa linapita mbele ya Rais Dkt Jakaya Kikwete katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga leo Mei 1, 2012
Wakazi wa mji wa Tanga wakiwa ndani ya uwanja wa Mkwakwani kwenye maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi
Wakazi wa mji wa Tanga wakiwa ndani ya uwanja wa Mkwakwani kwenye maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi.Picha na Ikulu.
Kusikiliza hotuba yote ya Rais Kikwete
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...