Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt Donald Kaberuka(kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene (kulia) Namanga mkoani Arusha mara baada ya kuwasili kwa ajili ya Mkutano wa Mwaka wa AFDB unaofanyika mjini Arusha. Mkutano huo unatarajiwa kufunguliwa na Rais Jakaya Mrisho kikwete tarehe 31.05.2012.
Home
Unlabelled
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika awasili jijini arusha tayari kwa mkutano wa mwaka wa AFDB
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Dr Don Kaberuka,
ReplyDeletewelcome home:
His CV
1960-1963 Murongo primary School (Karagwe)
1964-1965 Nyakahanga PS Karagwe middle school
1966-1968Ihungo Sec. School (Bukoba)
1969-1972 St Mary's High school, Tabora Boys
1973-1975 UDSM BA Economioics
Then to Scotland for MA and PhD.
Under him, AfDB has built our roads. pesa za walipa kodi wa Tanzania hazikwenda bure.