Wiki iliyopita ulisikia sehemu ya kwanza ya mahojiano na Dr Lindah Mhando, mwanazuoni wa Kitanzania ambaye ni mhadhiri wa chuo kikuu na mwandishi wa vitabu anayeishi hapa Marekani. Katika sehemu hiyo ya kwanza Linda amefafanua kuhusu suala la vita na mgogoro barani Afrika, kutokuwepo usawa na hata kukandamizwa kwa wanawake Afrika na Mashariki ya Kati ikiwa ni pamoja na suala la dini. Leo tukiendelea kuchambua kitabu chake kiitwacho "Birthing Masculinity:Dialogues of Peace and Social Justice" kitabu kilichochapishwa hapa Marekani na Africa World Press. Anafafanua zaidi mada zilizomo mbali ya mfumo dume. Masuala kama haki za binadamu na suluhu ya matatizo hayo. Pia anaeleza matarajio yake kuhusu kitabu hiki. Anaendelea kuzungumza na mkuu wa Idhaa ya Kiswahi Flora Nducha kuzichambua mada hizo. Wasikilize katika makala hii sehemu ya pili. kupitia
 
Thanks a lot

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...