Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa iliyokutana tarehe 12/5/2012 chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mambo mengine ilifanya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Wilaya kama ifuatavyo:-
 
(1)            Ndugu Grayson Mwengu
(2)            Ndugu Abdallah M. Hassan
(3)            Ndugu Ernest Makunga
(4)            Ndugu Mgeni Haji
(5)            Ndugu Innocent Nanzabar
(6)            Ndugu Nicholaus Malema
(7)            Ndugu Mercy Moleli
(8)            Ndugu Michael Bundala
(9)            Ndugu Elisante G. Kimaro
(10)       Ndugu Zacharia Mwansasu
(11)       Ndugu Eliud Semauye
(12)       Ndugu Habas Mwijuki
(13)       Ndugu Loth Ole Nesele
(14)       Ndugu Charles Sangura
(15)       Ndugu Donald Magessa
(16)       Ndugu Fredrick Sabuni
(17)       Ndugu Janeth Mashele
(18)       Ndugu Daniel Porokwa
(19)       Ndugu Zongo Lobe Zongo
(20)       Ndugu Mwanamvua Killo
(21)       Ndugu Joyce Mmasi
(22)       Ndugu Simon Yaawo
(23)       Ndugu Epimack Makuya
(24)       Ndugu Amina Kinyongoto
(25)       Ndugu Asia S. Mohammed
(26)       Ndugu Venosa Mjema
(27)       Ndugu Augustine Minja
(28)       Ndugu Elly H. Minja
(29)       Ndugu Ernest Machunda
(30)       Ndugu Selemani Majilanga
(31)       Ndugu Christina Gukwi
(32)       Ndugu Joel Kafuge Mwakila
 
Vituo vyao vya kazi watapangiwa baadaye.
 
Imetolewa na:-
Nape Moses Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA
ITIKADI NA UENEZI
13/05/2012

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2012

    Mzee Mtei sijui atesema nini maana hapa ni wakristu watupu,wakuu wa wilaya wakristu watupu hata Michuzi Hayumo.baraza la mawaziri wakristu watupu.lakini wajumbe wa katiba toka Zanzibar Mzee Mtei wa Chadema akakomaa kuwa imejaa waislam.
    kazi kweli kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...