Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2012

    CHADEMA karibuni na Melbourne Australia mpate kuongea na watanzania waishio huku.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2012

    Mkitoka marekani mje na huku Uingereza pia tunahitaji kuwasikia na kupata kadi za uanachama

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2012

    Ukerewe tunawasubiri tuvae gwanda.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 13, 2012

    Tunaunga mkono Chadema. Nisichopenda ni kimoja tu Ujamaa utaturudisha nyuma.

    Simamieni uchumi lakini Ujamaa siyo kitu kizuri

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 14, 2012

    naomba muelewe vijana wa dc mkitaka kutokea basi mjue makaratasi yenu mazuri au siompiga box maana itakuwa noma huko tusijipeleke kichwakichwa ushauri tuu mdau wenu

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 14, 2012

    babu mithupu chadema haina mpango mtu wangu miyayusho wabongo msiwe wajinga na kudanganywa walikuwa wapi siku zote nendeni mkawasaidie watanzania na hizo hella za ticket mlizo kujanazo yani mimi niache kazi nije kusikiliza chadema wadanganyeni wajinga wa huko bongo sio uku bwana noma sasa halafu mnasema ccmwezi nyie wenyewe wezi

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 14, 2012

    Mh. Zitto usitupige kiini macho umekuja kutibiwa halafu unataka wabeba box tuandamane Homeland Security waturudishe Bongo tukasote wote. Ebo acheni hizo posho mnakula nyie huku mtuletee vurugu. Uzeni mashangingi ya Chadema jengeni Zahanati moja tu kila wilaya maana Shangingi moja lina jenga Zahanati 10

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 14, 2012

    Hatujui kuandamana sisi. Huku msituletee vurugu. Hata hivyo kupiga haturuhisiwi ukiwa nje. Sisi tutawajazia hall na kuondoka. Hao wanaohamasisha humu ni hao hao Chadema wa huko DAR.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...