Hivi ndivyo ubao wa matokeo unavyoonyesha baada ya kumalizika kwa mchezo wa leo.
Beki wa Taifa Stars,Shomari Kapombe akichuana vikali na Moses Chavula wa Timu ya Taifa ya Malawi huku Makocha wao wakiangalia uwezo wa vijana wao katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Beki wa Timu ya Malawi,Foster Namwera akiondosha hatari iliyokuwa inaelekezwa langoni mwa Timu yao katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Refarii wa Mchezo huo,Oden Mbaga akimuonya Mshambuliaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) baada ya kumchezea rafu Kiungo wa kati wa Timu ya Malawi,James Sangala.
Haruna Moshi Boban yeye na kipa,lakini ilikuwa ngumu kwake kukatiza katika lango la Timu ya Malawi.
Mrisho Ngassa akijaribu kuwatoka Wachezaji wa Timu ya Malawi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Goooo..... daaaaaa...... anapiga fyongo pale na mpira unagonga besela na kutoka nje na kuwa gooooollllliiiii kikiiiiiii....
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars),Mwinyi Kazimoto akiwachachafya mabeki wa timu ya Malawi.
Kocha wa Timu ya Taifa,Kim Poulsen akimpa mawaidha Nahodha wa Timu yake,Juma Kaseja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2012

    WACHE WENDE WAKAFUNGWE MALAWI SASA

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2012

    Nilishasema hii si timu ya kuifunga Ivory coast. Narudia tena hii si timu ya kuifunga Ivory coast au Gambia!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2012

    Hii timu itafungwa 10-0 na Ivory Coast na haiwezi kuifunga Gambia,yaani tumeshatolewa mashindanoni.Kill lager itakuwa inapata faida ya kuidhamini hii timu mbovu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2012

    Hao wachezaji wanakosa nini? Msosi au ...hii? Yaani wao ni kufungwa tu si bora wasiende uwanjani. Huku ni kujenga sifa isiyofaa kwa Tz. Bora wakae kimya tu tusijulikani kulikoni!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 27, 2012

    OK naombeni mnipe majina ya wachezaji mnaowataka wachaguliwe ili waweze kuifunga Ivory coast na hao Gambia.
    That is why miTZ hatunaga maendeleo. Jifunzeni kwa Zambia. Acheni upuuzi wa kuponda Yosso.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 27, 2012

    Hawakupewa BANGE kabla ya Mchezo?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2012

    Nsajigwa ni nguzo pale kama Drogba kwa Chelsea. Uzoefu ni muhimu unapocheza na I vory Coast. Abdi KASSIM ameonyesha uwezo wa kuzifunga timu ngumu, huwezi kumwacha. Kwa Ivory tunahitaji wazoefu, hatuhitaji yoso.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...