Familia ya Bibi Nkinde Mwakitalu (Mrs. Nkinde Raymond Mang’ati) wa Makumbusho, Dar Es Salaam, inatoa shukrani za dhati kwa Ndugu , Jamaa na Marafiki Kwa kushiriki kwenu kwa hali na mali wakati wa Msiba wa Mpenzi marehemu Raymond Leornald Madinda Mang’ati aliyetwaliwa na Bwana tarehe 23 April 2012 na kuzikwa tarehe 26 April 2012 Kiondoni, Dar Es Saaam.
Hatuna maneno ya kutosha kuelezea ila tunaomba mpokee shukrani zetu kama sehemu ya kutambua mchango wenu na moyo wa upendo mliotuonyesha wakati wa kipindi chote cha Msiba na hatimaye kumsindikiza mpenzi wetu Marehemu Raymond Leonard Madinda Mang’ati katika safari yake ya mwisho.
MWENYEZI UNGU AWABARIKI SANA.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIDIWE.
“MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU RAYMOND LEONALD MADINDA MANG’ATI MAHALA PEMA PEPONI AMEN.
Poleni sana familia ya Mang'ati. Nilisoma na Marehemu Madinda alikuwa rafiki yangu shule ya Msingi Bunge na Tambaza Secondary. Tulipotezana hapa katikati kutafuta maisha. Nimeshtuka kuona taarifa hii leo. Mungu amlaze mahali pema peponi na wafariji wote walioguswa na msiba huu.
ReplyDeletepoleni wafiwa..Mungu awape subira..gone too soon jamani.very young n handsome..
ReplyDeletePoleni na msiba. Raymond (Madinda) was my classmate at Bunge Primary School and have fond memories of us growing up while attending Bunge. May his soul rest in peace.
ReplyDeletePoleni familia. Its so sad to see him leave us too soon. Mungu awatie nguvu.
ReplyDeleteGone to soon Raymond! May your soul rest in Peace Amen!
ReplyDeleteR.I.P Raymond, Bwana Ametoa Bwana ametwaa, Jina la Bwama Lihimidiwe..
ReplyDeleteMay he rest in eternal peace. Amen. Gone too soon. Poleni wanafamilia.
ReplyDeleteAisee, I'm shocked to see that my former classmate has passed away at such a young age! I sat next to him in standard 3 I believe. This is shocking!!! Poleni sana sana.
ReplyDeletePoleni wafiwa, vijana wenzangu mnaoshangaa mwenzetu amekwenda at a very young age (gone too soon) ndio tutie akili ni wakati wa kumrudia Mungu na kuwa karibu nae na kuishi maisha ya haki na ya kuheshimu kila mmoja wetu; kifo hakichague siku hizi zamani tulitegemea wazee tu ndo wanakufa hivyo basi tuishi kwa kujiweka tayari kwa lolote lile bila kujalisha umri wetu.
ReplyDeleteRest In Peace Madinda umetangulia tunafuata.