Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2012

    Tausi are endangered specie hapa dar maana zile nyumba zote karibu na ikulu walimokuwa wanaishi hawa Tausi sasa zimejengwa majengo makubwa na hivyo kutowapa nafasi tausi hawa kuendeleza kizazi chao.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2012

    Ukimchukua unakamatwa ati umeiba nyara za serikali, Malezi wanayopatiwa ni duni. Ikoje hii????

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2012

    Yaani hawa tausi niwazuri sana wiki iliyopita ghafla walivuka wawili mbele yangu wakitokea jengo la ATCL sijui nawao wallisikia ile ofa yao nao wanatafuta tiketi wasafiri kwenda Mwanza au Kilimanjaro.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...