Kikosi cha timu ya soka ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro.
Kikosi cha timu ya soka ya wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Moshi.
Timu ya soka ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro ikipiga jaramba kabla ya mchezo.
Timu ya soka ya wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Moshi ikipiga jaramba kabla ya mchezo.
tizi likiendelea.
Mpambano ulikuwa ni kivutio kwa watu mbalimbali waliofika katika uwanja wa chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara MUCcOBS,ambapo timu ya Wanahabari iliibanjua bao 3 - 1 timu ya wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Moshi. Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.
mbona blog ya Dixon Busagaga siku hizi imefungwa lete habari za Mo Town
ReplyDelete