Mh Esther Bulaya akikagua timu ya Town Star
 Mh Esther Bulaya akikagua timu ya Amani FC
 Town Star
 Amani FC
 Mh Bulaya akitoa kombe kwa kepteni wa Town Star
 Mh akipozi na washindi Town Star

Michuano ya Mbunge wa Viti maalum kupitia Umoja wa vijana CCM mkoani Mara ESTHER BULAYA CUP imemalizika jana ambapo michuano hiyo imedumu kwa wiki mbili katika wilaya Bunda mkoani Mara,Katika michuano hiyo Mshindi alikuwa ni Town Star baada ya kuifunga timu ya Amani FC mabao 4-2 kwa mikwaju ya Penalti Huku mshindi wa tatu Ikiwa Timu ya Polisi Fc

Katika michuano hiyo Town Stars walipata zawadi ya shilingi 500000 na kombe
                                   Aman Fc                                            250,000
                                    Polisi Fc                                             150,000

katika michuano hiyo   Mchezaji bora alikuwa Ramadhani Kifundu kutoka Amani Fc aliyepata zawadi ya shilingi ya shilingi 50,000
  Mfungaji bora  kutoka timu ya Balili fc 50,000
   Timu yenye nidhamu Mwembeni FC    50,000

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2012

    TFF mashindano haya madogo madogo ndiko kuna wachezaji wa Timu ya Taifa lakini hawaonekani..Huyo mfungaji bora afuatiliwe kwa karibu.Fuatilieni TFF Bunda

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...