Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angellah Kairuki akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo leo Jijini Dar Es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Fanuel Mbonde. Wengine ni wajumbe wa Baraza hilo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde akiongea katika mkutano wa siku mbili wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara hiyo ulioanza leo Jijini Dar Es Salaam. Kushoto kwa Katibu Mkuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mh. Angellah Kairuki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...