Mwenyekiti wa DOWUTA Bandari ya Dar es Salaam Bw. Athman Mkangara akiwa na baadhi ya wafanyakazi bora wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) waliotembelea mbuga za Wanyama za Manyara, Serengeti na Ngorongoro katika hoteli ya Serena Ngorongoro.
Baadhi ya Wafanyakazi Bora wakifurahia jambo wakati wa mapumziko katika hifadhi ya Serengeti.
kwa picha zaidi
Wafanyakazi mmependeza, inafurahisha, ongezeni uzalishaji kuonyesha shukrani ili wengine nao wapate fursa kama hii. Hongereni wana TPA.
ReplyDeleteHii kali!!kumbe bandari kuna wafanya kazi bora????
ReplyDeleteMaana makontena yalivyolimbikizana na usanii uliokuwepo pale,njoo leo njoo kesho mpaka kontena linaingia storage.
Hongereni wafanyakazi bora.
Muwaambie wenzenu waache wizi wa vitu vya watu bandarini..tumechoka na kuendelea wizi kila siku...mh waziri mpya washughulikie bandari waboreshe huduma na mapato yataongezeka
ReplyDeleteUongozi wa Bandari upongezwe kwa kuthamini wwafanyakazi na kikubwa zaidi kwa kuwapa zawadi ya kuwatembeza waweza kuiona na kuijua nchi yao vyema. Mashirika mengine nayo yaige utaratibu huu ili wazawa nasi tuwe wageni ktk hizi hifadhi za hapa nyumbani
ReplyDeletetembeatz.blogspot.com
Hilo bag moja hapo ni kama lile la kwangu lililoibiwa bandarini, nyie subirini kuna siku nitawawekea kitu kibaya nyie wafanyakazi wa bandari
ReplyDeleteKazi nzuri sana wanabandari keep it up, juzi nimetoa gari langu bila mizengwe wala kokoro.
ReplyDeleteHao bandarini dar kwa kuomba kolezo C&Forwarding hawajambo,MDAU wa c&f DAR
ReplyDelete