Mwenyekiti wa DOWUTA Bandari ya Dar es Salaam Bw. Athman Mkangara akiwa na baadhi ya wafanyakazi bora wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) waliotembelea mbuga za Wanyama za Manyara, Serengeti na Ngorongoro katika hoteli ya Serena Ngorongoro.
Baadhi ya Wafanyakazi Bora wakifurahia jambo wakati wa mapumziko katika hifadhi ya Serengeti.

kwa picha zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Wafanyakazi mmependeza, inafurahisha, ongezeni uzalishaji kuonyesha shukrani ili wengine nao wapate fursa kama hii. Hongereni wana TPA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2012

    Hii kali!!kumbe bandari kuna wafanya kazi bora????
    Maana makontena yalivyolimbikizana na usanii uliokuwepo pale,njoo leo njoo kesho mpaka kontena linaingia storage.
    Hongereni wafanyakazi bora.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2012

    Muwaambie wenzenu waache wizi wa vitu vya watu bandarini..tumechoka na kuendelea wizi kila siku...mh waziri mpya washughulikie bandari waboreshe huduma na mapato yataongezeka

    ReplyDelete
  4. Uongozi wa Bandari upongezwe kwa kuthamini wwafanyakazi na kikubwa zaidi kwa kuwapa zawadi ya kuwatembeza waweza kuiona na kuijua nchi yao vyema. Mashirika mengine nayo yaige utaratibu huu ili wazawa nasi tuwe wageni ktk hizi hifadhi za hapa nyumbani

    tembeatz.blogspot.com

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2012

    Hilo bag moja hapo ni kama lile la kwangu lililoibiwa bandarini, nyie subirini kuna siku nitawawekea kitu kibaya nyie wafanyakazi wa bandari

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2012

    Kazi nzuri sana wanabandari keep it up, juzi nimetoa gari langu bila mizengwe wala kokoro.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 18, 2012

    Hao bandarini dar kwa kuomba kolezo C&Forwarding hawajambo,MDAU wa c&f DAR

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...