Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam leo kwa kumjulia hali.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam kumjulia hali leo.Katika ni Mke wa Waziri huyo, Mama Lucy Mwandosya.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalizungumza na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam kumjulia hali leo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Pole Prof.pole sana,nakuombea upone haraka.
ReplyDeleteDavid V
Nimefarijika sana kumwona Prof Mwandosya akiwa na afya na mwenye kuonelkana na amani moyoni. Wazushi mtachomwa moto
ReplyDeletePole sana Prof. MUNGU atakujalia tu.
ReplyDeletePole sana Prof. umeugua kweli. Mungu akujaze nguvu. Amen.
ReplyDeleteAsanta Pm kwa kwenda kumuona Prof. Na Jk kwa kutambua umuhimu wake ktk baraza lake. Ni mmoja ya baadhi ya wachache wasafi ktk CCM
ReplyDelete