Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam leo kwa kumjulia hali.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam kumjulia hali leo.Katika ni Mke wa Waziri huyo, Mama Lucy Mwandosya. 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalizungumza na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam kumjulia hali leo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2012

    Pole Prof.pole sana,nakuombea upone haraka.

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2012

    Nimefarijika sana kumwona Prof Mwandosya akiwa na afya na mwenye kuonelkana na amani moyoni. Wazushi mtachomwa moto

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2012

    Pole sana Prof. MUNGU atakujalia tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 09, 2012

    Pole sana Prof. umeugua kweli. Mungu akujaze nguvu. Amen.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 09, 2012

    Asanta Pm kwa kwenda kumuona Prof. Na Jk kwa kutambua umuhimu wake ktk baraza lake. Ni mmoja ya baadhi ya wachache wasafi ktk CCM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...