Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe (katikati) akipokea taarifa ya makabidhiano leo (Jumatano, Mei 9, 2012) kutoka kwa aliyekuwa Waziri katika Wizara hiyo Celina Kombani (kulia) aliyehamishiwa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki.Picha na Omega Ngole

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2012

    MH ANGELA HONGERA SANA KWA KUPATA UWAZIRI KATIKA WIZARA UNAYOIFAHAMU VIZURI. NAOMBA MTUPIE MACHO JAMANI KITENGO CHA MAHAKAMA. MAHAKIMU WANASHIDA SANA NA ALLOWANCE YA NYUMBA AMBAYO HAIJAWAHI KUONEKANA TOKA SERIKALI ISEME ITAWALIPIA NYUMBA, BADALA YAKE TUNAONA WAENDESHA MASHITA NDIO WANAOLIPIWA PEKE YAO,NA WAMEZIDI KUPANDISHIWA ZAIDI. JAMANI INAKATISHA TAMAA SANA,HEBU TUELEZWE TATIZO NI NINI,KAMA NI KITENGO CHA MAHAKAMA AU WIZARA.
    MDAU MWENYE UCHUNGU,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...