Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo kuhusu Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaotarajia kuanza mjini Arusha kuanzia tarehe 28 Mwezi huu na utafunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete tarehe 31 Mwezi huu. Kulia ni Mwakilishi wa Benki hiyo hapa nchini Bi. Tonia Kandiero.Picha na Tiganya Vincent, MAELEZO- Dar es salaam
Home
Unlabelled
Waziri wa Fedha azungumzia Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) utakaofanyika jijini Arusha mei 28
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...