Hi Ankal.
Nipo na gari bora la Shabiby kuelekea Dodoma. Kuna ajali maeneo ya kibamba. Tatizo la mtanzania huyu wetu ni hawa madereva. Toka mbezi mwisho bila shaka sasa hadi kimara kuna lane 2 hadi tatu zote zinaenda moro! Hata wanaofanikiwa kupenya huko mbele ya kibamba hawana pa kupita hivyo magari yamezima tu! Na kila unayemgusa mkali kama nyigu unaambiwa!
Ustaarabu wa madereva kuna miaka mingi ya kwenda. Wapi Police?
Natamani wangepita na kukusanya tu leseni za wote walio-overtake na kuwa na digital camera kupiga picha magari yote na kuwaamuru walipoti polisi na adhabu kali itolewe!
Polisi au waziri anayeweza kusimamia hili hajazaliwa au inakuwaje? Hii ni kero ndefu na ya muda mrefu.
Mdau J.J
========================
Nipo na gari bora la Shabiby kuelekea Dodoma. Kuna ajali maeneo ya kibamba. Tatizo la mtanzania huyu wetu ni hawa madereva. Toka mbezi mwisho bila shaka sasa hadi kimara kuna lane 2 hadi tatu zote zinaenda moro! Hata wanaofanikiwa kupenya huko mbele ya kibamba hawana pa kupita hivyo magari yamezima tu! Na kila unayemgusa mkali kama nyigu unaambiwa!
Ustaarabu wa madereva kuna miaka mingi ya kwenda. Wapi Police?
Natamani wangepita na kukusanya tu leseni za wote walio-overtake na kuwa na digital camera kupiga picha magari yote na kuwaamuru walipoti polisi na adhabu kali itolewe!
Polisi au waziri anayeweza kusimamia hili hajazaliwa au inakuwaje? Hii ni kero ndefu na ya muda mrefu.
Mdau J.J
========================
Naomba niwekee kipande hicho hapo chini nimekipata kwa internet. Hakika watani wetu wanathubutu...sisi maneno kibao na kulalamika tu. Ajali zachukua wenzetu na wengi wakibaki na majeraha ya kudumu. Wahudumu wa vyombo vya usafiri wakiwa wachafu, na pikipiki zikizidi kutumaliza....yote twayaona lakini sheria hata zile ndogo hazifuatwi! Mdau KKK *Traffic Rules Amendments in Kenya* We wish to bring to your attention amendments in our Traffic Rules passed by Parliament and gazetted. These are in respect to; 1. Number plates - When you sell your vehicle, you should surrender the number plates to the registrar of motor vehicles and when you fail to renew the insurance, remember to surrender the number plates to the registrar otherwise you risk being arrested and fined. 2. Overlapping - Driving on pavement or through a petrol station to avoid traffic- You risk a fine of Ksh 30,000 or 3 months imprisonment or BOTH 3. Over speeding – When you over speed, you risk a fine of Ksh 10,000 or 3 months imprisonment or Both. 4. PSV operators – All PSV operators should adhere to the uniforms and badges rules. 5. Motor Cycle operators –These must ferry ONE PASSENGER only and the passenger and rider must be in reflective vests and helmets- otherwise you risk a fine of Kshs 10,000 and in default 12 months imprisonment. Other amendments include;**** - Life imprisonment for persons convicted of causing death by dangerous driving – giving it the same status as murder. Road blocks are to be gazetted prior to being mounted by the police **** - Driving licenses of speed limit violators shall be suspended for not less than 3 years if the person has exceeded speed limit by more than 10 kph and if offence is repeated 3 or more times. **** - Mandatory eye test every 3 years for licensed drivers. And if you fail the test your license is withdrawn. **** - All law enforcement officers are now effectively mandated to deal with traffic issues with the abolition of the Traffic Department under the Kenya Police Service Act. **** |
Comments huwa zinatolewa nzuri sana humu kwenye mada za 'driving'sema tu bahadhi yetu huwa hatuzisomi..
ReplyDeletexxxSheria zipo tena zipo sana,Tanzania, tatizo letu hapa TZ ni utekelezaji...basi.Kwa hiyo hata ukiweka faini ya ku-àvertake mfano 300,000TZS mtu anatoa elfu 20,000(pembeni) anaachiwa.Kenya wako strict sana na sheria za barabarani.Nairobi huwezi kuona kwenye midaladala watu wamesimama hata siku 1.Ukitaka kusimama kwenye daladala nenda uwanja wa ndege J.Kenyata kwenye zile Cobus(Utani)
David V
hiyo ndiyo sifa yetu watanzania kwamba hatuwezi kujiongoza wenyewe eti mpka traffic awepo----mimi uwanapata taabu sana ninapoona nchi zilizoendelea kama south Africa unapita kwenye junction taa hakuna lakini still magari yanapita kwa ustarabu mkubwa kabisa-----tunahitaji dictatorship ya kuchapana viboko na kuwepeana vifungo ili kushikishana adabu----mimi naamini hawa ni holigans na wanastahili adhabu kali
ReplyDeleteWanakaribia kuwa sawa na ulaya.....zero tolerance. Ila Ulaya hakuna life inprisonment!
ReplyDeleteSisi tumebaki Ohhh Bongo Tambarale huku tunakwisha !
ReplyDeletekweli kuna waziri anaehusika na ajali za barabarani? kama yupo atumiwe hii
ReplyDeletewatani wetu KENYA! NARUDIA TENA KENYA HAPO NAIROBI HAKUNA ANAYESIMAMA NDANI YA DALADALA, YAAANI WOTE MNAKAA KWENYE VITI. KAMA WENZETU KENYA WANAWEZA INAKUWAJE WABONGO TUNASIMAMA NA KUBANANA NDANI YA MADALADALA?
ReplyDeleteHii itakuwa poa kama hizo faini wale police wenyewe, kwa maana kama fain ni 300,000 na trafiki hafaidiki, ndo maana wanaamua kulamba buku 5000 na anakuachia tu, sasa labda iwe kwa asilimia akikukamata anakupiga 300,000 yeye anabaki na 200,000 na 100,000 za serikali hapo kila mmoja angenyooka!!
ReplyDelete