Banda ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linavyoonekana katika Viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara nchini (Saba saba.)
Meneja Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akimuelekeza jambo mmoja wa Wadau wa NSSF alietembelea banda hilo kwenye viwanja vya SabaSaba.
Ofisa Mkuu wa Mipango wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Gerald Sondo akionyesha picha za sehemu ya Mradi wa Nyumba za Makazi zilizojengwa Maeneo ya Mtoni Kijichi jijini Dar.
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Theopista Muheta akimuelezea jambo mmoja wa wateja wa NSSF alietembelea Banda hilo.
KUONA MAPICHA ZAIDI
Kila siku nasoma habari kuwa NSSF kuna udini wanaajiriwa waislamu tu. sasa mbona naona kwa picha hapo juu na kwa kuwafahamu wote waliotajwa hapo juu si waislamu.
ReplyDeleteJamani tuacheni fitna tumpe pongezi DR DAU ni jembe la kujivunia na si kutaka kumchafua bila sababu za msingi.
yaani uliyetoa maoni hapo juu umepatia, ni kwamba hawapendi kiongozi muislaam akifanya vizuri, ndio maana kila kukicha wanawatengeneza vikundi vya kugoma, ni mfumo huo. uko pia kwenye mitandao, mie nawaambia dunia nimapito shughuli ni huko kwa alie mmoja.
ReplyDelete