Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akitoa hotuba fupi wakati akifungua kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Dodoma kilichofanyika jana sambamba na kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa kwenye ukumbi wa St. Gasper Mjini Dodoma, kulia ni baadhi ya Wajumbe wa Kikao wakimsikiliza kwa makini.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Barabara Mkoa wa Dodoma na Kamati ya Ushauri ya Mkoa wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi wa kikao cha Bodi kilichofanyika jana sambamba na kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa kwenye ukumbi wa mikutano St. Gasper Mjini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nadhani haileti maana zaidi mnapotuwekea picha tu zinazoonyesha na kuwaelezea hao wahudhuriaji wa kikao hicho cha Bodi Ya Barabara Mkoa wa Dodoma. Cha msingi mngedokeza azma/dhamira ya kikao hicho na khasa kinachojadiliwa hapo (kama ndio hizo barabara au kinginecho n.k.). Hiyo ingeweza kumsaidia msomaji wa khabari hii alau kujuwa nini kinaendelea na hata kama ana maoni yake au lolote lile la kuchangia/kushauri au kuelezea juu ya khabari hii, basi inakuwa rakhisi kujuwa ni wapi aanzie na wapi amalizie.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...