Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mbagala Midlaster Nsanzugwanko (kushoto) akikabidhi vifaa vya michezo kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya St Anthony ya jijini Dar es salaam , kwenye makabidhiano ya vifaa hivyo Mbagala jijini Dar es Salaam leo .Kwa mujibu wa maafisa wa CRDB, vifaa hivyo ni kwa ajili ya kusaidia shule hiyo ambayo imeandaa tamasha la michao kwa shule za sekondari za nchi za Afrika Masshariki za Kenya, Uganda na Tanzania.
Kombe litaloshindwaniwa
Wanafunzi wa shule hiyo wakifurahia vifaa hivyo baada ya kukabidhiwa


Astonishing memories, arousing a nostalgia for my glorious old days on the school compounds. School of 1993-1996 mpo wapi jamani?????
ReplyDeleteMdau hapo juu Unanikubusha Mr .Turuka (Mwalimu wa GS) aka mzee wa kuchoropa watu Morning Talks za asubuhi.Da nakubuka nilichoropolewaga palikuwa apatoshi...na Bila kumusahau Mr.Mbungu mwalimu wa physics A-level kwa kutunga mitihani migumu
ReplyDelete1995-1997 PCM.
Mdau-Berlin.
Na lile basi la wanafunzi liko wapi?
ReplyDeleteNamwona Urassa hapa anarudisha fadhila kwa shule yake ya zamani
ReplyDeleteclassmate Form IVF 1999
Br. Ismail Hongera sana
ReplyDelete