Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Chid Benz akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika katika uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika katika uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Mwanamziki wa kizazi kipya Sheta na mwenzake wakipagawisha wakati wa uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika katika uzinduzi wa Tamasha la"WAJANJA"lililofanyika kwenye ufukwe wa bahari ya hindi Coco beach,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litafanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa shilingi ishirini na tano na kuperuzi facebook na twitter bure.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...