Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2012

    wewe KP wewe mi nakuonea huruma japo sikufahamu utajikuta msituni shauri yako

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2012

    Looks like Mnyika kawasemea baadhi yetu!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2012

    NDIO, kwa sasa tunahitaji Rais dikiteta! atakayesema hello, watu wote wanyanyue nyuso na kutazama ili wasikilize maelekezo na kuyafuata right away

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2012

    Wewe kipanya kichaa. Mfalme alikuwa hajui kama watu wana shida ya mkate akauliza kuna shida gani akaambiwa watu wanadai mkate akasema wapeni keki. Kipanya hata hajui hajaishi chini ya dikteta hivyo wala hajui kimekaaje kaaje kiti chake na anakitumiaje kwak kuonyesha watanzania wanahiari dikteta is a stupid option. Kama anafikiri katuni yake inatoa somo, hapo amepoteza mwelekeo na amepotosha. Wanafunzi wa chuo kikuu waligoma mwaka 1966??? nafikiri walisema "afadhali wakati wa ukoloni" je walikuwa sahihi. Nyerere aliwatimua wote. the cartoon has no logic at all!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2012

    Hana kosa mwenye macho haambiwi tazama, na mwenye akili haambiwi fikiri. Ni fumbo, kama huwezi fumbua waache wenye macho na akili wanaelewa. Heri ya hiyo kuliko.....

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 28, 2012

    Kipanya taswira nzuri sana, kwangu mimi so la katuni yako ni kuwa - "Je wapiga kura walalahoi wanatambua na kuona tofauti" kati ya wawili hao? alexbura dar.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 28, 2012

    KP yuko sahihi. Tatizo watu wafikiri dikteta ni muuaji au mnyanyasaji. Dikteta anayeongelewa hapa ni committed leader, mwenye vision na anayetumia nguvu zote kuhakikisha target inafikiwa. Congrats KP.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 28, 2012

    Wewe wa 2.04 p.m. hujui mimi ninaeandika nina umri gani. Kuna wenye macho ya chini na macho ya juu. Naona wewe una macho ya chini maana hayaoni chochote, kama unafikiria kwamba inatoa somo lolote, sisi tuliopitia enzi zote za ukoloni, nyerere, na nyinyi, naweza kusema afadhali niishi chini ya Kikwete
    mnaemuona ni dhaifu kuliko dikteta Mbowe au Kikono. Hatuko kutawala na wachaga, hapatakalika hapa mkae mkao wa kula.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 29, 2012

    Hee wewe baba sijui ni mmama unaetutisha hapatakalika kulikoni? umetumwa? kama kweli una umri unaosema sidhani kama unaweza toa maoni kama haya maana mlokula chumvi mnatakiwa kuwa na busara kidogo zaidi. Unaposema hapakaliki mmetuandalia nini? tafadhali tuna watoto wachanga nasi tunahitaji kuona wajukuu kama wewe uliyeishi enzi za ukoloni hadi sasa. Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni ila nadhani ni vyema yakiwa ya kujenga na si kutishia amani. Eeh Mungu tusaidie Tanzania tunaenda kubaya sana sasa

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 29, 2012

    Duh Mtu kubwa unayejitapa kuwa hivyo lakini huonyeshi huo ukubwa wako ni aibu tupu Ssa hapatakalika na ya wachaga yamekujaje hapa! Aibu yako kubwa jin*a na Pole sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...