PHARES RAPHAEL MAGEMBE
Imepita miaka SITA tangu uondoke dunia hii ghafla tarehe 20 Juni 2006
Unakumbukwa daima na familia yako; mkeo mpendwa Jane, wanao Machumu, Saji, Amon, Jibhai, Salome na Anastazia.
Pamoja na ndugu na jamaa zako wote walioko nyumbani Iramba Musoma, Dar es Salaam, Morogoro, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Washington DC Marekani na kwingineko kote hapa duniani.
PUMZIKO LA MILELE UMPE EE BWANA
NA
MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE
APUMZIKE KWA AMANI
-AMINA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...