Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali na pia Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo(kulia) ,Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba(katikati) na Andrew Chenge(kushoto) wakibadishana mawazo jana(leo) mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Emmanuel Nchimbi(kushoto) , Naibu Waziri wa Habari, vijana ,Utamaduni na Michezo Amos Makalla(katikati) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Anna Abdallah wakibadishana mawazo jana(leo) mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa(TAMISEMI) Hawa Ghasia (kushoto) wakibadishana mawazo jana(leo) mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt. Milton Makongoro Mahanga(kulia) mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Waziri wa Habari, vijana , Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara(kushoto) na Naibu Wake Amos Makalla(kulia) wakijadiliana jambo jana(leo) mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Naibu Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai(kushoto) akiwa na Mbunge wa Iramba mashariki Mwigulu Nchemba(kulia) wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Mwanasheria mkuu wa Serikali(AG) Jaji Frederick Mwita Werema(kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila(kushoto) wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt Milton Makongoro Mahanga (kushoto)na Naibu Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum(kulia) wakijadiliana mara baada ya kipindi cha maswali na mjibu kumalizika jana mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi ofis ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika(kulia) akijadiliana jambo jana mjini Dodoma na Mbunge wa Jimbo la Tanga mh. Omar Nundu (kushoto) mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Mwenyekiti wa Simba Sport Club ambaye pia ni Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage(kushoto) akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Maji Dkt Binilith Satano Mahenge (kulia) jana mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...