Mambo yote nenda hapa http://www.bongocinema.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2012

    Mtuonjeshe kwanza kama wenzenu wa Nigeria kina Iroko. TV. Mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia, hamtampata ntu. Lol.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2012

    Finally we have been waiting this for very long time. I'm so happy

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2012

    mbona hamjasema mko nchi gani?

    website hamjakamilisha kuweka info hata za dhipping and returns...

    hamja weka anuai yenu na namba za simu....

    mtu akinunus amkuna pa kurudisha as mnaweza uza dvd mbovu...inatokea hii kokote...


    majina ya wenye kampuni hakuna, li mkiiba tujue nani wa kumtafuta

    duh kununua bila ku login hii mpyaaaaaa kwangu mzoea kununua online

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2012

    Hey not on my time i will not pay a pen,for rubbish is jangara

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 24, 2012

    Sinema za kibongo bado ziko nyuma sana. Ni ndeefu zisizo na mpango. Niliwahi kuiangalia Mrembo kkikojozi nikiwa TZ na nikakosa kuelewa lengo lake ni nini hasa? Watu wanaongea tu kumsimanga na kumkashifu binti mwenye tatizo la ambalo ni la kisaikolojia. Kwenye sinema zingine watoto wanapigwa kikweli kweli, watu wanazozana kama walevi. Kiingereza ndio hivyo, kiswahili basi tena.
    Ukinunua umepoteza pesa zako, hutamaliza kanda na hutapenda kuangalia TENA. Inaonyesha kama vile mtunzi wa sinema hana uhakika iishije? au iwe ndefu kiasi gani. Watu wanazozana wee ili kuitisha muda kuvuta Part two. Kwa filamu tuko nyuma saaana!
    Labda ununue ili wanao wasisahau kiswahili ukiwa ground basi waangalie sinema kwa masaa matatu![ila waonye kama kuna mtoto anateswa kwenye filamu atapigwa vya ukweli ukweli] Kalaga baho!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2012

    Kwa maoni ushauri na mambo mengi nimeona hapa juu nimetambua kuwa kweli wtu hawaipendi nchi yao kama huyu KALAGA ndio kabisa wazungu ni kwake, Maisha hayaendi hivyo mbona mimi nimenunua na zinaonyesha safi sana. Kwa kweli nimeamini bado tunawaabudu wazungu. Badala ya kusifia chetu bado tunakiponda? Irene New Jessy

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 25, 2012

    I LOOOVE BONGO MOVIES HATA MSEMEJE! Thanks for the link. Princess, New York

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 26, 2012

    MDAU WA NEW JERSEY, UMESOMA MADA YA LEO KUHUSU SANAA YA FILAMU? WASANII WENYEWE WANAZOKOSOA. UKWELI TUUSEME, HUWEZI KUBORESHA KAZI BILA KUKOSOLEWA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...