Mrembo Lisa Jensen yuko mkoani Mara  kuwapa tips washiriki wa shindano la Redds Miss Mara 2012 wakiwa katika picha ya pamoja katika ufukwe wa Ziwa Victoria, mkoani Mara baada ya mazoezi yao jana. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani Ijumaa, Juni 29, 2012 kuchuana vikali kuwania taji la mkoa wa mara na tiketiketi ya Kushiriki shindano la Redds Kanda ya Ziwa.  


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...