Rais wa Zimbabwe na Katibu Mkuu wa ZANU PF Comrade Robert Mugabe akihutubia katika mkutano huo
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Wilson Mukama akihutubia kwenye Mkutano huo. wanaofuatia ni Katibu Mkuu wa ANC ya Afrika Kusini Ndg. Gwede Mantashe na ayefuatia ni Katibu Mtendaji Mkuu wa ZANU PF Ndg. Dydimus Mutasa na Rais wa Zimbabwe na Katibu Mkuu wa ZANU PF Comrade Robert Mugabe.
Kusoma maazimio ya mkutano huo BOFYA HAPA
Kusoma maazimio ya mkutano huo BOFYA HAPA




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...