Jinsi hifadhi yamisitu ya asili NILO ulivyoshona pia majengo ya ofisi za hifadhi. ndani ya msitu ni kiza hata ikiwa mchana jinsi ulivyoshona na hali ya hewa si zaidi ya nyuzi joto 18 ma mvua hunyesha karibu kapindi chote cha mwaka na ardhi yake ndani ya msitu ni unyevunyevu daima.
Picha na Fatuma Matulanga wa TBC, Tanga
Chura ni baadhi ya viumbe hai wengi wanaoishi msituni humo
Juu ni kinyonga mwenye pembe na chini ni kinyonga asiye na pembe


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...