Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, akimkabidhi trekta, Diwani wa Kata ya Kwadelo, wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma, Alhaj, Omary Kariati, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Trekta hiyo ambayo imenunuliwa kutoka Suma J KT, ni kwa ajili ya Chama Cha Maendeleo ya Kata hiyo ya Kwadelo chini ya Kwadelo Ward Development Commitee (KWDC).Picha na Bashir Nkoromo.
Home
Unlabelled
MUKAMA AKABIDHI TREKTA KWA WAKULIMA WA KONDOA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...