Mdau  Naesha Bashir Mrindoko akila pozi baada ya kula nondozzz ya Bachelor's in Business Administration. katika Chuo Kikuu cha  Heriot Watt University huko Edinburgh. Hongera sana Naesha.
 Furaha na fahari ya kula nondozzzz
 Naesha akiwa na wahitimu wenzie
 Naesha akifurahia na ndugu na marafiki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2012

    wooow hongera sana binti, usiishie hapo endelea kuzibomoa nondo zifatazo big up

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2012

    haya hongera,uko single?lol

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2012

    Yuko single wakati kitumbo hicho wakiona kimeshiba... Hongera

    ReplyDelete
  4. asante. ya niko single. lol!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 26, 2012

    Hongera Naesha!!!

    Tuwakilishe Watzanania Bibie !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...