Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na viongozi wa chama cha riadha nchini wakati alipokutana nao ili kupanga mikakati ya namna ya kufufua mchezo wa riadha nchini. Wa pili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Riadha nchini William Kallaghe, Mkurugenzi wa Michezo Bw. Thadei na kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Riadha Suleiman Nyambui.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na viongozi wa chama cha riadha nchini wakati alipokutana nao ili kupanga mikakati ya namna ya kufufua mchezo wa riadha nchini.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki,Filbert Bayi baada ya kukutana nao pamoja na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,Dkt. Fenella Mukangara na viongozi wa chama cha riadha na kupanga mikakati ya namna ya kufufua mchezo wa riadha nchini.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini,Dionis Malinzi baada ya kukutana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,Dkt. Fenella Mukangara na viongozi wa chama cha riadha alipokutana nao kwa mazungumzo na kupanga mikakati ya namna ya kufufua mchezo wa riadha nchini. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw Sethi Kamuhanda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2012

    baraza hili linahitaji sura mpya za vijana. waweze kuchanganyika na wazee ili waende na wakati

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...