Waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Willy Edward nyumbani kwao Molotonga, Mugumu Mjini, Serengeti, mkoani Mara, leo

 Waombolezaji wakiwa wamejipanga foleni tayari kwenda ktuo heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward.
 Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Absalom Kibanda (katikati), akiwaongoza baadhi ya wahariri kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu Willy Edward wakati wa maziko yaliyofanyika Molotongo, Mugumu.
 Baba wa marehemu Willy Edward, Edward Ogunde akilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa nmwili wa mwanawe
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward.
 Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacquiline Liana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward nyumbani kwao marehemu Molotonga.
Picha zote na Kamanda Richard Mwaikenda
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...