TAARIFA KWA UMMA
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) unawatangazia wadau wake kuwa,  Mkutano Mkuu wa wadau utafanyika tarehe 29 Juni 2012 kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni katika hoteli ya Blue Pearl - Ubungo Plaza, Dar es salaam.
Madhumuni ya Mkutano huu ni kutoa taarifa ya mwaka ya Mfuko na kutathmini  maendeleo na changamoto zinazokabili Mfuko na sekta ya Hifadhi ya Jamii kwa ujumla.
Tafadhali thibitisha ushiriki wako kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu makao makuu, Dar es Salaam.
 “PSPF - TULIZO LA WASTAAFU”
Kaimu Mkurugenzi Mkuu
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma,
Makao Makuu,Golden Jubilee Towers,  S.L.P 4843. Dar-es-Salaam.
Simu: +255222120912/52 au +255222127375 /6
 Nukushi: +255222120930

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...