Ajali hii imetokea alfajir ya leo kwenye makutano ya barabara ya mandela road na kilwa road ilihusisha malori mawili kwenye taa za kuongozea magari uhasibu ambapo mashuhuda walisema lori la kampuni ya Azam halipo pichani, lilishika breki ghafla katikati ya taa za kuongozea na kupisha gari ndogo iliyokuwa ikitokea jitegemee kwenda sabasaba,dereva wa lori alishindwa kulidhibiti wakati akijaribu kulikwepa lori la Azam na kuishia kugonga nguzo ya Taa na kuanguka ,dereva alivunjika miguu yote miwili na kukimbizwa hospitalini.
Home
Unlabelled
UZEMBE WA MADEREVA NA UTENDAJI KAZI MBOVU WA TAA ZA KUONGOZEA MAGARI CHANZO CHA AJALI NYINGI JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Poor driving skills should bear more blame than inoperable traffic lights. If the light does not work good drivers will find a way of crossing without any accident or gridlock. mnaachiana zamu kuvuka barabara, lakini kwa sababu tumeamua kuwa hatuthaminiani barabarani hata kujipa zamu za kuvuka inakuwa vigumu. Huwa nakosa raha sana nikifikiria jinsi tulivyoamua kuishi kama watu wasioweza kufuata sheria.
ReplyDelete