Washindi wa Tuzo za Excel With Grand Malt kwa vyuo vya Elimu ya Juu mkoani Iringa wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi kwenye utoaji wa Tuzo hizo,Mkuu wa Wilaya ya Iringa,Mh. Leticia Warioba (wa tatu toka kushoto walio mstari wa mbele) na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah (wa nne toka kushoto walio mstari wa mbele) ambao ndio wadhamini wakuu wa Tuzo hizo kupitia kinywaji kisicho na kilevi cha Grand Malt.Wa pili kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini,Prof. Enock UgulumuSherehe ya utoaji wa tuzo hizo ilifanyika kwenye viwanja vya Chuo kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...