Kama brother Michuzi anavyosemaga;  kwa wale wenye Data za kikosi hiki cha Simba tunaomba tukumbushane uhondo wa enzi hizo. Mie naanza kwa kusema hapo jamaa wa Jangwani wakitia mguu tu - TARANA...
Standing Back-line:-Moh’d Bakari, (Tall), Daud Salim (Bruce-Lee), simjui, Abdallah 'King' Kibaden na Athumani Mambosasa

Sitting Front-line:-Willy Mwaijibe, Abdallah Mwinyimkuu, Lucas Nkondola. Omar Mahadhi bin Jabir (alichezaga ndani)  na Omar Gumbo

MDAU UK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2012

    Mdau kwa kukusaidia ni kuwa wote umepatia na hao jamaa usiowajua ni kuwa wa tatu waliosimama ni Ismail Mwarabu na wa nne ni Aloo Mwitu. na list ilikuwa inaenda kama hivi. 1)Mambosasa R.I.P
    2)Daudi Salum R.I.P
    3)Lucas Nkondola R.I.P
    4)Aloo Mwitu
    5)Mohamed Bakar 'Tall'
    6)Omar Gumbo
    7)Will Mwaijibe R.I.P
    8)Ismail Mwarabu
    9)Omar Mahadhi R.I.P
    10)Abdallah Kibadeni 'KING'
    11)Abdallah Mwinyimkuu 'PELE'
    mdau Leicester UK.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2012

    Du Kweli hii timu naikumubuka

    Ismail Mwarabu, Abdallah Mwinyimkuu,Daudi Salum na Lucas Nkondola hawa walikuwa katika timu ya Umiseta Tabora pamoja na akina Ahmed Amasha na Mtemi Ramadhan mwaka 1977

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2012

    daudi salum bruce lee yupo hai wa afya njema kabisa. Tena ni juzi tuu amezawadiwa Tuzo za TASWA pamoja na wachezaji wengine wa zamani walioshiriki kwa mara ya kwanza Africa Cup of Nations in 1980. Standing 3rd from left is Ismael Mwarabu, 4th Aloo Mwitu wote awakitokea timu ya Lake STAR YA KIGOMA ambao pamoja na Hamisi Askari na Athumani Juma walichukuliwa kwa mpigo na SIMBA Sports Club na kuifanya Simba kuwa na kikosi bora zaidi amabacho hakijawahi kutokea tena mpaka sasa mwaka huo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...