Mwigizaji wa Kimataifa kutoka Nchini Nigeria,Omotola Jalade wa pili kushoto akikabidhiwa zawadi za khanga, shanga na viatu kutoka kwa mwenyeji wake Wema Sepetu wakati akiondoka kuelekea Nigeria jana usiku. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya One Touch Solutions, Petter Mwendapole ambao waliratibu ziara ya msanii huyo. Mwingine wa msanii Snura.
Mwigizaji Wema Sepetu akimvalisha Khanga Omotola Jalade muda mfupi kabla ya kuondoka nchini kuelekea Nigeria.
Omotola akijaribu bangili za kimasai alizopewa kama zawadi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2012

    wema wewe ni mshichana mzuri sana na uanajud kujitunza lakin jaman husiki joto na joto lote hili la bongo kuvaa ka kitoti hicho au tena ndo fashion, huku majuu muhuoni mtu kuvaa koti hilo wakati wa summer time ambapo home huko ndo hali ya hewa tulionaoyo joto joto kiana

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2012

    HIVI ZAWADI HUWA TUNAPEANA NJIANI? MWENYEJI KWA NINI HAKUMPA HUKO WALIKOTOKEA AU NDIO MAMBO YA MTANIONA LINI??? NILIWAHI KUAMBIWA WEMA SI MBAYA KAMA WANAVYOMPAKA ILA NI ATTENTION SEEKER NA HAPA AMEJIDHIHIRISHA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2012

    Ni tabia zetu tu sisi Watanzania. Kama vile tabia zetu za kutaka kujitangaza tumepata diploma au kumaliza chuo kikuu hasa nje ya nchi. Usistuke kuona zawadi wanampa mgeni njiani ili paparazi awatoe hapa. Labda advertisement.

    Inakera zaidi tabia zetu za kuwaita viongozi DAKTA. Viongozi wengi kama Clinton, Merkel na kadhalika wana PH.D lakini hukuti wanaitwa DAKTA Clinton. Sisi hata tukinunua au kupewa Honorary Degree ya Filosofia, basi usiseme.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2012

    KWA SASA BONGO NI BARIDI

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 29, 2012

    INGEPENDEZA NA INGEKUWA NA TAFSIRI NZITO KAMA NA WEWE WEMA UNGEVAA VITU VYA KIASILI KAMA ULIVYOMPA HUYO MGENI WETU. SASA DADA YETU WEWE UMETINGA VITU VYA KIMAJUU MGENI UMEMPA VYA KITANZANIA.ANYWAY SI MBAYA NEXT TIME FANYA TAFAKURI KWANZA KABLA HUJAAMUA AINA YA ZAWADI.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 29, 2012

    Wema unaona mbali sana katika fani yako hii ya uselebriti umeonyesha mfano mzuri sana kwa wenzako wote kwenye fani yako. watu wote wanaosema vibaya mnamuonea wivu Wema kwa maendeleo yake,Wema ana nyumba, ana magari mawili, ana kampuni ana meneja maisha yake ameyapanga kikazi zaidi kama maselebriti wa ulaya wenye mafanikio. mnaokosoa nipeni sababu zenu za kumkosoa kama huna ni wivu tuu, attention seeker kila binadamu anapenda attention na attention ni kuonyesha maendeleo yake anayojivunia kwa nini asifanye attention jiulize ungejenga nyumba usingeficha, Wema songa mbele mamaa wasemao watasema wakichoka watalala

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 29, 2012

    wananchi wenye hasira kali mpeni sifa zake Wema acheni wivu na chuki binafsi anastahili sifa kwa kweli kama huzioni basi una tatizo wewe na sio Wema

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 29, 2012

    we wema unatakaje kati ya kuwa mzungu, zeruzeru au mweusi???

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 29, 2012

    mdau hapo juu naona wema hajakosea kutoa zawadi,mbona huko ulaya wanatoa zawadi kokote.huwa zawadi hutolewa kotekote.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 29, 2012

    wema nakupenda sana. usijali maneno ya watu badili tabia yako na fanya mambo yako ya maendeleo zaidi. huyu mdau anauliza kama wema anataka kuwa mzungu au zeruzeru rekebisha lunga yako hao pia ni watu. pia wema yuko huru kufanya anachopenda. kwenye sifa tutoe sifa jamani.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 29, 2012

    Wanaompond Wema wote Wamenuna, na huyo mhaya wa kwanza hapo mwenye kuweka H hata mahala pasipostahili wenzio majuu wakati wa summer wanajianika wanatafuta tan, au rangi ya brown. Halafu nyie ndio wale wale hamna mbele wala nyuma kazi kuponda tu, angekaa mabega wazi mngemponda.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 29, 2012

    wewe mdau wa kwanza bongo sasa hivi kuna baridi. au ndo nyie mnaoenda majuu mnashindwa kurudi mnasahau hata majira ya hali ya hewa ya bongo. ndo nyie mkiulizwa na wazungu how is the weather in tanzania mnaruka tu hot hot. mzungu wa watu anaenda arusha miezi ya june na kisnglendi anakomaje na baridi!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 30, 2012

    HIVI NINYI WABONGO HIVI MTAENDELEA LINI NA MAMBO YENU YA MAKASHFA KILA KUKICHA HIVI HUYO MSICHANA WEMA ALIWAKOSA NINI? AU MNAFIKIRI HATA KAMA ANATOA BASI ATAMPA KILA MTU? MBONA MASTAR KAMA KUNA MADONNA, NK, HAWASEMWI HIVYO WAO WAMEKWISHA BADILISHA WANAUME WANGAPI HUMU DUNIANI. MUACHENI MSICHANA WA WATU ATULIE AFIKIRIE KAZI ILI AWEZE KUZALISHA MENGINE MENGI , MAANA NAONA HUKO KWENU NI USWAHULI TU NA KASHFA ZISIZOKWISHA KILA SIKU. JARIBU TUWAPE NAFASI VIZAZI HIVI VIWEZE BUNI MAMBO MENGI, AMBAYO NI YA MAENDELEO ,SIO KILA SIKU MUMFANYIE SKENDO AMBAZO HAZINA MANTIK YOYOTE, HIVI NINYI NAONA HATA MAMA ZENU HAWANA HESHIMA NAONA MNAWAONA KAMA WOTE NI MALAYA., KWANI HAMNA KABISA HESHIMA NA MWANAMKE, JARIBUNI KUWAPA NAFASI ILI TUONE NA WANAWAKE WATAFANYA NINI KATIKA JAMII SIO KUWATUKANA YUUU MATUSI BILA MPANGO, NA WENGINE HATA HAMUMFAHAMU HUYO SISTER, BASI TU KUTOA KASHFA

    MDAU LONDON.

    KEEEP ON MOVING WEMA MPAKA KIJULIKANE

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 30, 2012

    Wema mimi napiga box ili nije kukuoa Inshaalah ,umemfunika Omotola kabisa kila nikiona picha yako mimi hoi ......achana na hao vijana wa bongofleva wanakutumia nihifadhie zawadi yangu hadi nikirudi tufunge ndoa ya dole ......mwaaaaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 30, 2012

    WEMA BIG UP MY SISTO BIG UP BIG UP USIJERUDIANA TU NA WASWAZI MISTAKE ALL WOMAN DO IN YOUNG AGES , SO USIJALI TUPO NYUMA YAKO MAMA

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 30, 2012

    SAMAHANI WANDUGU WAPENDWA,HUYU WEMA NINANI HUKO TANZANIA?

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 02, 2012

    Mdau unaeuliza Wema ni nani huko Tanzania inaelekea wewe sio Mtanzania au Watanzania wenzako wanaowika kwenye vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini huwajui. Sitoshangaa kama hata Waziri Mkuu wa TZ hujui ni nani.
    jaribu ku-google utapata kujua huyu Wema ni nani...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...