Lori la kubeba kifusi cha mawe aina ya Scania na lenye nambari za usajili T 525 ACP  Mali ya Kampuni ya Bhanji , likiwa halitamaniki baada ya kufeli breki na kushindwa kusimama katika Mteremko wa Nzovwe jijini Mbeya na kwenda kugonga Gari aina ya Prado ambapo Dereva wa Gari hilo dogo alifariki hapo hapo.
 Gari aina ya Prado lenye namba za usajili T 720 BUV iliyo kuwa inaendeshwa na mama mmoja alietambulika kwa jila la Edna Sanga ambaye alifariki hapo hapo baada ya ajali hiyo.
 Muuguzi katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya,Usebia Ulalo akisome majina ya majeruhi katika ajali hiyo waandishi wa habari.
 Msongamano wa magari kutokana na ajali hiyo 
Dereva wa Lori hilo alietambulika kwa jina moja la Daudi akiwa amelazwa katika hospitali hiyo ya Rufaa Mbeya.Picha na Mbeya Yetu Blog ambayo ni Libeneke Dada la Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...