Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwanza hadi Musoma umeshika kasi na sasa barabara hii inaelekea kuingia mjini Musoma, mpaka asubuhi ya leo shughuli hii ilikuwa imefikia eneo la baruti nje kidogo ya mji wa Musoma.pichani ni eneo la Kariakoo, Bweri asubuhi ya leo.Picha na Libenele la WotePamoja.com
eneo la Fishpack.
eneo la Baruti.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...