TIGU INCOPORATED INAUNGANA NA WATANZANIA WOTE KUOMBOLEZA NA KUWAFARIJI NDUGU NA JAMAA WALIOATHIRIKA NA AJALI YA MELI YA MV. SKAGIT ILIOTOKEA TAREHE 18 MWEZI 7 MWAKA 2012 KARIBU NA KISIWA CHA CHUMBE, ZANZIBAR .
TUNAWAOMBEA MAJERUHI WAPONE HARAKA.
NA KWA NDUGU NA JAMAA ZETU WALIOPOTEZA MAISHA YAO, TUNAMWOMBA MUNGU AZIWEKE ROHO ZAO MAHALI PEMA PEPONI, AMINA.
TUPO PAMOJA NA FAMILIA ZOTE ZILIZOATHIRIKA, TUNAWAOMBEA FARAJA NA SUBIRA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU.
“TIGU, A network of opportunities"
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...