Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT Dkt Wilbrod Slaa akimtambulisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni mlezi wa Hospitali ya CCBRT Mhe. Anne Makinda Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Jose Manuel Barroso alipowasili Hospitalini hapo leo kujionea shughuli za Hospitali hiyo. Serikali ya Tanzania na Umoja wa Ulaya wamekuwa wakiichangia fedha nyingi hospitali hiyo.
Rais Barosso akisaini kitabu cha wageni.
Rais Barosso na wageni wenzie wakipata muhtasari wa shughuli za hospitali ya CCBRT. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
As a nation tutakaa mpaka lini kwa kusaudiwa?Us there no brains or ideas by oUr leaders to get out of this shame?
ReplyDeletefungate hakuna au ndoa imeahirishwa?
ReplyDelete