Marehemu Zainabu Bakari (Mama Sija)

Mama tunakukumbuka sana kwa ucheshi wako, 
malezi mazuri na mapenzi yako kwetu.

 Mwenyezi Mungu ampe kheri katika kila hatua atakayopitia.
Unakumbukwa sana na mumeo Mzee Sijaona, wanao Sijaona, Bakari, 
Mwanahamisi, Issa, Salehe, Sijawa, Hija, Ally na mjukuu wako Lydah.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. انا لله وانا اليه راجعون

    Labeka umeitika, wito wake RAHMANI,
    Kughufiri lopituka, akuweke kivulini,
    Ya hesabu kijafika, pepoye uwemo ndani,
    Zangu DUA niitika, TAQABALI RAH'MANI.

    Ya Ar'hama R'rahimin, akughufirie kwa yote, akunusuru na adhabuze na kukujaaliya JAN'NATU N'NAEEM - AMEN.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2012

    mwenyezi mungu amlaze mahala pema peponi amin

    na amsamehe makosa yake ya dhahiri na ya siri amin

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...