Familia ya Mgondah chang'ombe Temple Road, wanatoa shukrani kwa wote waloshiriki katika msiba wa mpendwa wao JOSEPH TOM MGONDAH (pichani), aliefariki 15/6/2012 hapa dar es salaam na kuzikwa 17/6/2012 huko Lusanga (muheza) Tanga.

Kutakua na mkesha siku ya 27/7/2012 ikifuatiwa na Misa ya shukrani siku ya 28/7/2012 huko Lusanga (Muheza) Tanga Saa3  asubuhi katika Kanisa la Watakatifu wote, mnakaribishwa kuja kujumuika nasi.

JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. May your soul rest in ☮️ deeply missed big joe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...