Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei akikata utepe wakati wa ufunguzi wa tawi jipya la benki hiyo lililopo Tegeta nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja wa tawi hiyo, Daudi Nyandwi. Wa tatu kushoto ni Naibu Mkurugenzi Huduma Shirikishi wa CRDB, Esther Kitoka na Mkurugenzi Mkuu wa VGK, Velence Msaki.

Sasa wapo Ndani kuaonyesha kuwa Tawi lishazinduliwa.
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kulia), akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.
Karibu katika tawi letu.
Mkurugenzi Mkuu wa VGK, Velence Msaki (kushoto), akiwa na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.
Baadhi ya wageni walioshiriki uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa tawi la Tegeta jijini Dar es Salam.
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (kushoto), akiwa na Meneja wa Huduma kwa Wateja, Godwin Semunyo wakati wa hafla hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...