![]() |
Sehemu ya jengo hilo ambalo lina vyumba zaidi ya ishirini vikiwemo vya uangalizi maalumu kwa ajili ya mgonjwa, dawa ya usingizi, ofisi, vyoo, mapokezi na kadhalika |
Serikali imekamilisha ujenzi wa jengo la upasuaji cha kisasa zaidi nchini katika hospitali ya wilaya ya Hai ambapo ujenzi pamoja na vifaa na mashine zilizopo umegharimu zaidi ya shilingi bilioni moja.Uzinduzi wa jengo hilo unatarajiwa kufanywa na Rais Jakaya Kikwete atakapokuwa ziarani katika mkoa wa Kilimanjaro. Pichani Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe.Novatus Makunga akikagua jengo hilo la upasuaji la hospitalini ya wilaya ya Hai na kupata maelezo kutoka kwa watendaji wa hospitali hiyo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...