Kwa masikitiko makubwa tunawatangazia kifo cha Mama yetu Ositha Jaka (pichani) wa Forest Hill- Morogoro, kilichotokea nyumbani Morogoro jioni ya Jumatatu ya tarehe 02/07/2012.

Msiba upo nyumbani kwa marehemu Forest Hill- Morogoro, na Mazishi yanatarajiwa kufanyika Morogoro siku ya Alhamisi tarehe 05.07.2012.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...