Mkurugenzi wa Extra Bongo Ally Choki akiimba mbele ya mamia ya washabiki wake usiku  wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa New White House Kimara Korogwe jijini Dar katika show kali ya Extra bongo ya kuwaaga mashabiki wao, maana leo usiku wanapaa kuelekea Finland kwa mwaliko rasmi wa  kufanya show kadhaa huko ughaibuni.

Msanii wa kizazi kipya Bongo Fleva Matonya akiwarusha mashabiki wa Extra bongo usiku wa kuamkia leo ndani ya New white house Kimara Korogwe.

Q chif akiimba kwa hisia kali usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa New white house Kimara Korogwe 

Chid Benz kama kawa akiwarusha mashabiki wake.

Matonya na Q Chif

Choki na Chid Benz

Ally Choki akimsikiliza kwa umakini mdhamini mkuu wa Bendi yake Chief Kiumbe, wakati wa show ya kuwaaga washabiki na wapenzi wao iliyofanyika ndani ya ukumbi wa New white house Kimara Korogwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...