SONYA SKIN CARE COLLECTION @ Tsh 246,000
Bidhaa hii ya ngozi ni ya pekee yenye aloe vera, matunda, white tea (anti-oxidant) na unyevu wa ziada kwa ajili ya ngozi yako, husaidia kuhuisha na kuongeza unyevunyevu kwenye ngozi yako, huiweka ngozi katika afya njema na muonekano mzuri. Ina bidhaa tano ndani yake; Aloe Purifying Cleanser, Aloe Refreshing Toner, Aloe Nourishing Serum, Aloe Balancing Cream, Aloe Deep-Cleansing Exfoliator.
25TH EDITION FRAGRANCE WOMEN/ 25TH EDITION FRAGRANCE MEN @ Tsh 75,000 kila moja
Nukia vizuri na kwa muda mrefu kwa kutumia perfume za Forever Living. Ni nzuri pia kwa watu wenye elegies.
WEIGHT MANAGEMENT @ Tsh 230,000
Pendeza na upate muonekano mzuri kwa kutumia program ya kupunguza uzito ya Forever Leaving.
ARGI+EU (L-Arginine and Vitamin Complex) @ Tsh 125,000
L-Arginine ni amino acid ambayo ina nguvu, wanasayansi huisea kuwa ni molecule ya maajabu kwa sababu, miili yetu hubadilisha L-Arginine kuwa nitric oxide, molecule ambayo husaidia mishipa ya damu kurelax na kufunguka kwa ajili ya kupitisha damu vizuri. Upitishwaji wa damu vizuri kusaidia kazi nyingi sana katika miili yetu; Afya nzuri na kuweka sawa blood pressure, Afya nzuri ya cardiovascular, kuongeza kinga ya mwili, kukuza na kurekebsha mifupa na tissue, kuongeza Nguvu za kiume, kusaidia mmengenyo wa Fat na glucose, kupunguza homones za uzee.
ALOE VERA GEL @ Tsh 42,000
Inatokana na gel ya katikati ya jani la aloe vera. Ina virutubisho kama 12 ikiwemo B12, madini 20, amino acid 18 na enzymes. Husaidia kuondoa sumu, kusafisha na kusaidia mmeng’enyo wa chakula, kuondoa uvimbe, kuponya vidonda na kusaidia uponyaji wamaradhi kama arthritis, pressure, kisukari, vodonda tumbo, kuongeza Nguvu, kupunguza aleji mwilini
ARCTIC-SEA SUPER OMEGA 3 @ Tsh 50,000
Imetokana na mafuta ya samaki aina ya salmon anaepatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya arctic anayetoa Omega3 na mafuta ya mzeituni yanayotoa omega9. Bidhaa hii husaidia ukuaji wa ubongo pamoja na mfumo wa fahamu, matatizo ya homones, afya ya ngozi, huongeza Nguvu ya kinga mwilini, huondoa cholesterol, arthritis, macho kutoumbika vizuri, misuli kukosa Nguvu, kutekenyeka kwa viganja na miguu, huzuia cancer ya maziwa, prostate na matatizo ya stroke.
Kwa maelezo zaidi piga 0786766028 AU 0769888605 AU 0656394101

hizi ni products nzuri sana. arctic sea ni (mafuta ya samaki).....ni very useful kwa watoto na wakubwa pia.
ReplyDeletealoevera gel juice ni nzuri sana kwa kuondoa sumu...ukizingatia kuwa vyakula vyetu siku hizi sio salama sana!
perfume ya forever living ni superb!
ReplyDelete• Perfumes – 62,134 @
ReplyDelete• Tooth bright – 10,900
• Deodorant – 10,100
• Clean 9 pack – 194,668
Hawa wanaouza hizi bei ni za wapi jamani?
Mm nimenunua hivyo vitu kwa bei hizo.Huyu wa perfume 75,000 ni ya nn?
Unapatikana wapi?mdau
ReplyDeleteProducts ni nzuri sana mimi binafsi imenisaidia na familia yangu wanaume changamkeni nguvu za kiume siku hizi imekua ni tatizo,tumia FLP products utashangaa
ReplyDeleteWale wale na ni utapeli Tu wadau hakuna kitu hapo
ReplyDelete