Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bw.Raymond Mbilinyi (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti Mteandaji wa kampuni ya Agro EcoEnergy Tanzania Limited Bw. Per Carstedt (kushoto) wakati alipofanya ziara ya siku moja katika shamba kubwa la kisasa la zao la miwa linalomilikiwa na kampuni hiyo wilayani Bagamoyo jana. Kati kati ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw.Anders Berfors.
Home
Unlabelled
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania atembelea shamba la miwa bagamoyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


hawa jamaaa watuachieee ardhi yetu wakalime miwa yao ya kuzalishia mafuta ya magari makwao, sisi tunayo gesi ya kuendeshea magari yetu, kwao ardhi lukuki, kwa nini hawalimi kwao?? ardhi yetu sisi ni kidogo sana haitutoshi!! tunahitaji kulima mazao ya chakula cha binadamu na sio mafuta ya magari!!
ReplyDelete